Home > Terms > Swahili (SW) > makamu wa rais

makamu wa rais

Jukumu kubwa la makamu wa rais ni kuchukua urithi wa urais iwapo rais atajiuzulu,atatolewa au hata kufariki.

Jukumu lingine la kikatiba kwa makamu wa rais ni kuongoza bunge la senate la Marekani na kutumia kura yake kuamua pale ambapo pande zote mbili zinalingana. Hali hii hukiukwa tu pale ambapo bunge la senate linatekeleza jaribio la kumwondoa rais mamlakani.

Katika miaka ya hivi karibuni,makamu wa rais wamechukua majukumu makubwa zaidi ya kusimamia sera za kitaifa na kimataifa ambazo ni za hadhi ya juu.

0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

ongaka yusuf walela
  • 0

    Terms

  • 1

    Blossaries

  • 0

    Followers

Industry/Domain: Language Category: Grammar

lugha tenganishi

lugha tenganishi inaunda lugha za mofimu moja (yaani, kwa mzizi bila udogo) huwa zinatumia maneno fupi pale ambapo lugha nyingine inatumia neno moja ...

Contributor

Featured blossaries

Engineering Branches

Category: Engineering   1 12 Terms

SAT Words

Category: Languages   1 2 Terms