Home > Terms > Swahili (SW) > kishazi cha kielezi

kishazi cha kielezi

ni kishazi cha chini kinachofanya kazi ili kubadilisha kitenzi, kivumishi, ama kielezi kingine. inajibu moja ya maswali manne; aje, wakati gani?,wapi? na kwa nini? kishazi cha kielezi kila wakati kinatanguliwa na kiunganishi cha chini

kwa mfano, nilimwona Tom "wakati nilipoenda kwa duka"

0
  • Part of Speech: noun
  • Synonym(s):
  • Blossary:
  • Industry/Domain: Language
  • Category: Grammar
  • Company:
  • Product:
  • Acronym-Abbreviation:
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

ongaka yusuf walela
  • 0

    Terms

  • 1

    Blossaries

  • 0

    Followers

Industry/Domain: Language Category: Grammar

usemi halisi

katika usemi halisi, kiina cha kitenzi ndio huwa kinatenda mfano; "aliwatembelea marafiki zake huko chicago"

Featured blossaries

Civil Wars

Category: History   2 20 Terms

Windows 10

Category: Technology   2 16 Terms

Browers Terms By Category