Home > Terms > Swahili (SW) > Dhambi

Dhambi

Makosa dhidi ya mwenyezi Mungu pamoja na makosa katika fikra, ukweli, na urazini. Dhambi ni fikra, neno, tendo, ama kuondoa jambo kimaksudi kinyume na amri za Mungu. Katika kuhukumu uzito wa dhambi,kulingana na mila za wakristu; dhambi za mauti hutofautishwa na dhambi ndogo (1849,1853, 1854).

0
  • Part of Speech: noun
  • Synonym(s):
  • Blossary:
  • Industry/Domain: Religion
  • Category: Catholic church
  • Company:
  • Product:
  • Acronym-Abbreviation:
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Festivals Category: Halloween

Halloween

Inajulikana pia kama All Hallow's Eve, Halloween ni likizo ya mwaka inayosherehekewa tarehe 31 Oktoba katika Marekani, Canada, na Uingereza. Ni eti ...